iqna

IQNA

New Zealand
Waislamu New Zealand
TEHRAN (IQNA) –'Wiki ya Umoja' imepangwa katika iku zijazo katika huko mjini Christchurch New Zealand kuwaenzi watu 51 waliofariki katika mashambulizi dhidi ya msikiti mjini humo.
Habari ID: 3476713    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/16

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Waislamu katika eneo la Manawatu New Zealand imeidhinisha msikiti wa eneo hilo kutumika kama eneo la kutoa chanjo ya COVID-19 kwa watu wote.
Habari ID: 3474524    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/06

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Singapore wamehakikishiwa usalama wao baada ya kubainika kuwepo njama ya kushambulia misikiti nchini humo.
Habari ID: 3473606    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/30

TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern ameahidi uwajibikaji wa serikali yake kuhusu ripoti ya hujuma dhidi msikiti mjini Christchurch.
Habari ID: 3473428    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/06

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa New Zealand amezindua jiwe la ukumbusho katika Msikiti wa Al Noor mjini Christchurch kuwakumbuka Waislamu waliouawa katika hujuma ya kigaidi msikitini hapo mwaka jana.
Habari ID: 3473200    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/24

TEHRAN (IQNA) –Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Dyanet) imepongeza hukumu ya maisha jela iliyotolewa dhidi ya gaidi Muaustralia ambaye alihusika katika mauaji ya Waislamu nchini New Zealand .
Habari ID: 3473112    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/28

TEHRAN (IQNA) –Mahakama nchini New Zealand imemhukumu kifungo cha maisha jela gaidi Brenton Tarrant baada ya kupatikana na hatia ya kuwaua Waislamu 51 wakati wa swala ya Ijumaa mwezi Machi mwaka jana katika mji wa Christchurch.
Habari ID: 3473108    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/27

TEHRAN (IQNA) - Watu wanaoaminika kuwa wahalifu wazungu wa mrengo wa kulia wenye misimamo mikali ya kibaguzi wameuhujumu msikiti katika mji wa Brisbane, Australia.
Habari ID: 3472125    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/11

TEHRAN (IQNA) – Mkaazi wa Canterbury, New Zealand anasema alivutiwa na Uislamu na kuamua kusilimu baada ya hujuma dhidi ya misikiti katika mji wa Christchurch nchini humo.
Habari ID: 3472091    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/19

TEHRAN (IQNA) – Gaidi wa Australia aliyetekeleza mauaji ya Waislamu 51 katika misikiti miwili mjini Christchurch nchini New Zealand mwezi Machi ameiambia mahakama kuwa hana hatia.
Habari ID: 3472001    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/14

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres Jumanne hii amekutana na majeruhi na familia zilizopoteza wapendwa wao katika shambulizi la kigaidi dhidi ya misikiti miwili ya New Zealand mnamo Machi 15 mwaka huu.
Habari ID: 3471955    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/14

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa New Zealand Jacind Ardern ameagiza kufanyike uchunguzi huru kuhusu hujuma za kigaidi dhidi ya misikiti miwili katika mji wa Christchurch nchini humo.
Habari ID: 3471888    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/26

TEHRAN (IQNA)- Kikao cha dharura cha Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kimefanyika Ijumaa mjini Istanbul, Uturuki kwa lengo la kujadili hatua za kuchukuliwa baada ya shambulio la kigaidi la hivi karibuni dhidi ya Waislamu waliokuwa katika Sala ya Ijumaa kwenye misikiti miwili nchini New Zealand .
Habari ID: 3471886    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/23

TEHRAN (IQNA)-Katika kuonyesha mshikamano na uungaji mkono kwa Waislamu pamoja na familia za wahanga wa shambulio la kigaidi la Ijumaa iliyopita katika misikiti miwili ya Linwood na Al-Noor ya mji wa Christchurch nchini New Zealand , adhana imerushwa hewani kitaifa moja kwa moja katika televisheni na radio sambamba na misikiti yote ya nchi hiyo leo Ijumaa.
Habari ID: 3471885    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/22

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Uingereza imetakiwa kuwapa Waislamu ulinzi kufuatia hujuma za Ijumaa iliyopita dhidi ya misikiti miwili nchini New Zealand .
Habari ID: 3471882    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/20

TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesema baadhi ya Waislamu hawana ufahamu sahihi wa Qur'ani na hivyo wanajihusisha na vitendo vilivyo kinyume cha mafundisho ya Uislamu.
Habari ID: 3471880    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/18

TEHRAN (IQNA) – Pale waumini walipokuwa wakimiminiwa risasi na gaidi wakati wa Sala ya Ijumaa msikitini, dereva wa texi, Abdul Kadir Ababora, alijificha chini ya rafu ambayo hutumika kuweka nakala za Qur'ani Tukufu huku akiomba Duaa kuwa apate fursa ya kubakia na mke na watoto wake.
Habari ID: 3471879    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/17

TEHRAN (IQNA)-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hujuma za kigaidi zilizolenga misikiti miwili jana mjini Christchurch New Zealand na kupelekea Waislamu wasiopungua 49 kuuawa shahidi wakiwa katika Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3471878    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/16

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua 49, wakiwemo wanawake na watoto wadogo, wameuawa na wengine wasiopungua 48 wamejeruhiwa katika hujuma za kigaidi zilizofanywa dhidi ya misikiti miwili katika mji wa Christchurch nchini New Zealand wakati waumini wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya Sala ya Ijumaa hii leo.
Habari ID: 3471877    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/15